KK CHAPCHAP LOAN
Mkopo wa Haraka (KK Chap Chap) Mkopo huu kiwango chake ni Tshs. 100,000 mpaka Tshs 500,000. Riba yake ni asilimia 9% na marejesho yake ni ndani ya mwezi mmoja. Mkopo huu hutolewa ndani ya masaa 24 baada ya muombaji kukamilisha taratibu zote
Range:
Tsh 100,000/= to Tsh 500,000/=
Repayment period:
Not exceeding 1 months
Interest percentage:
9%
Loan Calculator
Enter only loan amout and repayment period to calculate the interest
Loan Amount (Tsh):
Repayment period (Months):