Uongozi wa Posta na Simu SACCOS (KK) unakuhamasisha kutumia haki yako ya uanachama kuomba nafasi ya uongozi wa tawi katika mkoa uliopo. Fomu zinapatikana kwenye tovuti ya Chama. Kwa mawasiliano piga namba +255739334331 Asante NB: *Maombi yatumwe kwenye barua pepe(email) ya Chama uchaguzi@postanasimusaccos.co.tz au kwa njia ya EMS posta ili itufikie kabla ya tarehe 27/10/2023 PAKUA HAPA FOMU YA UONGOZI
Our Vission
To become the most trusted, and sought after financial institution providing support, value-based innovation and financial education to our member-owners, employees, volunteers, and communities we serve.
Our mission
A strong, member financial cooperative providing value through: -
Meeting members' needs with quality services and products.
Caring for members at every contact.
Enhancing the communities we serve through volunteerism and leadership..
Chairperson's Message
When we evoke the words “Saccos Pamoja tujenge uchumi” more